Posts

Showing posts from March, 2018

ATHARI YA MVUA MOMBASA, KENYA

Akiwa ya mepita majuma kadhaa toka withara ya utabiri wa hali ya anga kutoa tahadhari na kusema,huenda mvua kubwa ikashuhudiwa baadhi ya kaunti humu mchini. Sasa kaunti ya Mombasa imejipata ikiwa bado haijajiandaa kikamilifu kukabiliana na mvua hiyo. Aitha wakaazi wameitilia shaka mvua hiyo inayoendelhiyo inayoendelea kuadhiri baadhi ya maeneo na miundo mbinu zikiwemo barabara  zi lizogeuka mito. Naye waziri wa afyia wa kounti hiyo amewaeleza wakaazi kukumbatia usafi msimu huu wa mvua. Pia ameongezea kusema,wakati wa  mvua hushuhudiwa magonjwa mengi ya maambukizi ikiwemo kipindu pindu. Kiupande wake serikali ya kaunti ya Mombasa imesema, wamejiandaa kikamilifu kukabiliana na maafa yatakayo sababishwa na mvua. Nikiripoti kutoka kounti ya Mombasa jina langu ni Shokah Juma.

Zanzibar's case was filed off

http://www.theeastafrican.co.ke/news/Zanzibar-secession-case-dismissed-EACJ/2558-4336482-p8n808z/index.html Free App: null