Posts

Showing posts from May, 2024

Rais Samia atua Jamhuri ya Korea

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe.  Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.  Jiji hilo la Sejong ni Makao Makuu Mapya ya Korea Kusini na Jiji hilo lina mahusiano na Jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya Serikali.

the-africa-battery-minerals-summit

Image
SAVE THE DATE!  The Africa Battery (Critical Minerals) Initiative, would like to invite you  to attend our :- 1st East African  Critical (Battery ) Minerals Summit 2024.  *Joining 8 Head  of States from the Critical Minerals Rich Countries on our Planet *Meeting with the representatives of the 2500 Owners of the Critical Minerals concessions from Eastern Africa. According to recently published statistics, alone Tanzania, the DRC , Burundi and Zambia, accounts for the following percentage of the Critical Minerals on our Planet;- Cobalt 75% Lithium 45%  Nickel   45%  Graphite 50%  Manganese 45% *The 1st East African Battery (Critical )Minerals Summit 2024 Date: 1st -2nd of July 2024 Location:Zanzibar Tanzania  *The Summit will be under the Patronage of HE. Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of United Republic of Tanzania!   * The Kingdom of Saudi Arabia which has allocated USD 15Billion for Investment in Critical Mineral...