Mwanamitindo na mtangazaji wa televisheni nchini Marekani, Kim Kandashian West, ametaka ukaguzi magerezani ufanyiwe mabadiliko, ili wafungwa wakike wakaguliwe maungoni mwao na Askari wakike na wala si pamona na wanaume kama ilivyo sasa. Aliyasema hayo pale alipotembelea magereza ya wanawake alipofungwa maisha mwanamke, Alice Marie Johnson kwa kujihusisha na madawa ya kulevya ambapo ombi hilo kwa Raid Donald Trump wa Marekani ili amsamehe mwanamke huyo. Ombi la mageuzi hayo yalifikisha kwa gavana, jerry Brown aliyesema wanalifanyia kazi sala hilo ambalo linaonekana kama unyanyasaji wa kijinsia magerezani.