Kim Kardashian anataka wafungwa wakike wakaguliwe na Askari wakike.
Aliyasema hayo pale alipotembelea magereza ya wanawake alipofungwa maisha mwanamke, Alice Marie Johnson kwa kujihusisha na madawa ya kulevya ambapo ombi hilo kwa Raid Donald Trump wa Marekani ili amsamehe mwanamke huyo.
Ombi la mageuzi hayo yalifikisha kwa gavana, jerry Brown aliyesema wanalifanyia kazi sala hilo ambalo linaonekana kama unyanyasaji wa kijinsia magerezani.
Comments
Post a Comment