Posts

Showing posts from December, 2022

NOT FOR PROFIT OF THE YEAR TANZANIA 2022 AWARD

Image
      Founder and Executive Director of Lukiza Autism Foundation Tanzania and the organizer of the RUN for AUTISM TANZANIA HALF MA RATHON, Hilda Nkabe received The Top 100 Executive List 2022 Award  for the caregory of “CEO NOT FOR PROFIT OF THE YEAR”.     The awards were organized by the Tanzania Institute of Managers and took place on Sunday 27th Nov 2022 at Mlimani City Dar es Salaam Tanzania.     RUN 4 AUTISM TANZANIA HALF MARATHON is the first Autism Half Marathon in Africa and it took place on 10th April 2022 in Dar es Salaam Tanzania; with season 2 to take place same month in 2023.

ZAWADI AMOS ANAPANIA KUMVAA GULI WA NDONDI HALIMA VUNJA BEI

Image
 Mwanadada nchini Tanzania anaekipiga kwenye ngazi za kimataifa atadhihirisha ubora wake kwenye pambano la funga mwaka usiku wa mabingwa kimataifa  litakalochezwa disemba 26 2022 jijini Arusha. Akizungunza na vyombo vya habari Zawadi Amos katika eneo la Kimara Dar esalaam amesema anakila sababu ya kutabasamu kwa kupata nafasi ya kupepetana na nguli wa ndondi nchini humo Halima vunja Bei na kuahidi mchezo mzuri ulingoni. kwa upande wa mashabiki wa mchezo huo wamesema hawaogopi majina makubwa wala umaarufu wa mkongwe huyo na wameahidu ushinde kwenye pambano hilo.  Aidha wamesema kwenye tasinia hiyo kumeshuhudiwa chipukizi wengi na wenye uchu wa mafanikio wa mchezo wa masumbwi mkowaoni humo.  Vile vile mkufunzi Wa Bondia huyo Fadhili Ramadhan akipuuzilia mbali mpizani wake nakusema ni bondia wa kawaida na hivyo hawategemei kupoteza pambano hilo. Pambano hilo la kufunga mwaka la "Usiku wa Mabingwa" Litakalofanyika Desemba 26 Mkoani Arusha litawakutanisha miamba wenye upi...