Dada mmoja anusuri kifo baada ya kujitupa kwa maji ferry.
Binti mwenye umri wa makamo alijitupa ndani ya maji wakati ferry ilipokuwa ikivuka.
Abiria waliokuwepo karibu na yeye waliona tayari amejirusha pasipokujua chanzo ni nini.
Wakati huo huo wanaume walijitolea kupambana na maji ili kunusuru maisha ya banati huyo.
Haraka haraka walifanikiwa kumuopoa .
Na binti huyo alipoulizwa anadai (maisha yamekuwa tete kwake).
Imekuwa desturi ya kivuko hicho ambapo watuwengi huona hapo ndio mahali sahihi pa kutatua msongo wa mawazo.
Swali ni je, kujiuwa ndio suluhisho ya majanga?
Comments
Post a Comment