WAAMUZI WA KIKE KWALE ON 4TH OCT 2024 LEO TV
Idadi ya marefa wa kike wanaosimamia mechi za ligi za shirikisho la kandanda nchini (FKF) kaunti ya kwale inaendelea kuongezeka baada ya akina dada 8 kufuzu.
Wanane hao wakiwa ni miungoni mwa wengine 26 ambao wamepokea ufadhili huo kupitia shirika la samba sports youth agenda na kampuni ya uchimbaji madini ya base titanium kutoka kaunti ya kwale.
Ongezeko hilo la waamuzi wakike ni mikakati ilowekwa na shirikisho la kandanda ulimwenguni kufikia elfu 2 na 32 timu za wanawake zi simamiwe na wanawake wenyewe.
Comments
Post a Comment