UTAMADUNI NA MILA ZA TUMIKA KUJENGA AMANI
Vijana wameonywa kutokana na kutumia mitandao ya kijamii vibaya na kujiingiza kwenye hanasa, jambo linalochangia kuongezeka kwa kuporomoka kwa maadili.
Kwa muji wa wazee kutoka jamii ya wadigo eneo la msambweni wamekiri kuwa kuporomoka kwa maadili kwenye jamii kumechangiwa na vijana kuigiza mila za kigeni.
Mila na desturi ni muhimili mkubwa kwa jamii za kiafrika, kudumisha amani na kuongeza ujamaa ambao hutafautishwa kutokana na makabili au maeneo wanayotoka.
Comments
Post a Comment