Mwanaisha chidzuga kumvaa Masito 2027.

Kivumbi 2027, Chidzuga akiweka wazi azima yake.

 Naibu Msemaji wa Serikali Bi Mwanaisha Chidzuga amejisajili rasmi kama mgombea wa kiti cha mwakilishi wa akina mama kaunti ya Kwale katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.

Bi Chidzuga amesema kuwa yupo tayari katika uwaniaji wa kiti cha woman rep ili kutumikia wakwale kwa kutekeleza majukumu ya afisi kikamilifu kwa haki na usawa.

"Niko tayari kuwakilisha wa Kwale katika nyadhfa ya woman rep kaunti ya Kwale 2027 InshaAllah," Mwanaisha Chidzuga, Naibu Msemaji wa Serikali.

Bi Chidzuga amekua mstari wa mbele katika maswala ya maendeleo na uhumasishaji jamii kupitia women empowerment, huduma za SHA, Elimu na uwiano.

Comments

Popular posts from this blog

Kwale Doctors Strike Enters Day 3 Amid Chaos, Unpaid Salaries, and Deteriorating Healthcare Services

Lack of focus on sanitation and hygiene interventions puts children at risk of death due to bacterial infections causing diarrhea in Kilifi County.

CHAMA CHA UZALENDO CHA TISHIA KUJIONDOA KATIKA MUUNGANO WA AZIMIO