Posts
Kim Kardashian anataka wafungwa wakike wakaguliwe na Askari wakike.
- Get link
- X
- Other Apps
Mwanamitindo na mtangazaji wa televisheni nchini Marekani, Kim Kandashian West, ametaka ukaguzi magerezani ufanyiwe mabadiliko, ili wafungwa wakike wakaguliwe maungoni mwao na Askari wakike na wala si pamona na wanaume kama ilivyo sasa. Aliyasema hayo pale alipotembelea magereza ya wanawake alipofungwa maisha mwanamke, Alice Marie Johnson kwa kujihusisha na madawa ya kulevya ambapo ombi hilo kwa Raid Donald Trump wa Marekani ili amsamehe mwanamke huyo. Ombi la mageuzi hayo yalifikisha kwa gavana, jerry Brown aliyesema wanalifanyia kazi sala hilo ambalo linaonekana kama unyanyasaji wa kijinsia magerezani.
ATHARI YA MVUA MOMBASA, KENYA
- Get link
- X
- Other Apps
Akiwa ya mepita majuma kadhaa toka withara ya utabiri wa hali ya anga kutoa tahadhari na kusema,huenda mvua kubwa ikashuhudiwa baadhi ya kaunti humu mchini. Sasa kaunti ya Mombasa imejipata ikiwa bado haijajiandaa kikamilifu kukabiliana na mvua hiyo. Aitha wakaazi wameitilia shaka mvua hiyo inayoendelhiyo inayoendelea kuadhiri baadhi ya maeneo na miundo mbinu zikiwemo barabara zi lizogeuka mito. Naye waziri wa afyia wa kounti hiyo amewaeleza wakaazi kukumbatia usafi msimu huu wa mvua. Pia ameongezea kusema,wakati wa mvua hushuhudiwa magonjwa mengi ya maambukizi ikiwemo kipindu pindu. Kiupande wake serikali ya kaunti ya Mombasa imesema, wamejiandaa kikamilifu kukabiliana na maafa yatakayo sababishwa na mvua. Nikiripoti kutoka kounti ya Mombasa jina langu ni Shokah Juma.
Interiors sc,say "he is read to wash his hand but not regret after deported minguna miguna
- Get link
- X
- Other Apps
Dada mmoja anusuri kifo baada ya kujitupa kwa maji ferry.
- Get link
- X
- Other Apps
Binti mwenye umri wa makamo alijitupa ndani ya maji wakati ferry ilipokuwa ikivuka. Abiria waliokuwepo karibu na yeye waliona tayari amejirusha pasipokujua chanzo ni nini. Wakati huo huo wanaume walijitolea kupambana na maji ili kunusuru maisha ya banati huyo. Haraka haraka walifanikiwa kumuopoa . Na binti huyo alipoulizwa anadai (maisha yamekuwa tete kwake). Imekuwa desturi ya kivuko hicho ambapo watuwengi huona hapo ndio mahali sahihi pa kutatua msongo wa mawazo. Swali ni je, kujiuwa ndio suluhisho ya majanga?
Tanzania hadi lini watawaandama waandishi wa habari ambao ni kiungo muhimu kwa jamii.!??
- Get link
- X
- Other Apps
Ktn Prime Sports full bulletin 2018-Otieno 'back to his roots'
- Get link
- X
- Other Apps
RTN TV: EGLAN SHOW Dhalinta Garissa Jacayl iyo lacag keebay qateen.
- Get link
- X
- Other Apps
The punishment of Somali women riding on bodaboda in Garissa.
- Get link
- X
- Other Apps
THE INSIDE STORY; Wolves at Westgate [The news behind the news of 2013 t...
- Get link
- X
- Other Apps
Inside Kenya's Death Squads - Al Jazeera Investigates
- Get link
- X
- Other Apps
Uhuru apata afueni baada ya mahakama huidhinisha ushindi wa marudio ya ucjaguzi 26/10/2017
- Get link
- X
- Other Apps
Hatukusudii kupendua serikali. Asema kamda wa kijeshi.
- Get link
- X
- Other Apps