MAISHA NA CHANGAMOTO BARA BARANI KENYA
KATIKA maisha ya kila siku watu hutegemea bara bara kwa shuhuli mbali mbali. ila imekuwa ni kama jinamizi kwa wanaotumia usafiri barabarani.
sisemi ajali za kila siku na maisha kutoweka pia mali za watu zinazo angamia, je hatua gani ichukukuliwe ili kumaliza sokomoko hili.
Comments
Post a Comment