Posts

SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI.

  Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Lukiza Autism Foundation na muandaaji wa mbio ya Run 4 Autism Tanzania; inayojihusisha na kutetea watu wenye hali ya Usonji/Autism; amewataka wazazi wenye watoto wenye Usonji kutokata tamaa na kuwalea watoto wao  kwa upendo, pamoja na changamoto zote wanazozipitia katika ulezi. Akizungumza katika Kongamano la kwanza la Kitaifa la afya ya akili nchini  lililofanyika katika ukumbi wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ( JINCC ), mkurugenzi huyo ameiomba Wizara ya afya kutatua changamoto zinazowakabili wazazi wa watoto hawa, kama vile gharama kubwa za mazoezi tiba, uchache wa wataalam wa utambuzi wa hali ya Usonji na wataalam wa mazoezi tiba, uchache wa vituo vya afya vinavyotoa huduma za mazoezi tiba na shule au vituo jumuishi au maalum. "Tatizo la usonji linawapata watoto wadogo ambapo dalili huanza kuonekana katika umri wa chini ya miaka mitano. Dalili zake kubwa ni changamoto za mawasiliano, changamoto ...

janga la ugaidi

Image

stv online

Image

shimoni tv online

Image

MAKALA NGOME YA YESU MOMBASA OLD TOWN

Image

Kenya kuwa na jenerali wa kwanza mwanamke.

Take a look at @PresidentKE's Tweet: https://twitter.com/PresidentKE/status/1017739611114795008?s=09

Kim Kardashian anataka wafungwa wakike wakaguliwe na Askari wakike.

Image
Mwanamitindo na mtangazaji wa televisheni nchini Marekani, Kim Kandashian West, ametaka ukaguzi magerezani ufanyiwe mabadiliko, ili wafungwa wakike wakaguliwe maungoni mwao na Askari wakike na wala si pamona na wanaume kama ilivyo sasa.   Aliyasema hayo pale alipotembelea magereza ya wanawake alipofungwa maisha mwanamke, Alice Marie Johnson kwa kujihusisha na madawa ya kulevya ambapo ombi hilo kwa Raid Donald Trump wa Marekani ili amsamehe mwanamke huyo. Ombi la mageuzi hayo yalifikisha kwa gavana, jerry Brown aliyesema wanalifanyia kazi sala hilo ambalo linaonekana kama unyanyasaji wa kijinsia magerezani.

ATHARI YA MVUA MOMBASA, KENYA

Akiwa ya mepita majuma kadhaa toka withara ya utabiri wa hali ya anga kutoa tahadhari na kusema,huenda mvua kubwa ikashuhudiwa baadhi ya kaunti humu mchini. Sasa kaunti ya Mombasa imejipata ikiwa bado haijajiandaa kikamilifu kukabiliana na mvua hiyo. Aitha wakaazi wameitilia shaka mvua hiyo inayoendelhiyo inayoendelea kuadhiri baadhi ya maeneo na miundo mbinu zikiwemo barabara  zi lizogeuka mito. Naye waziri wa afyia wa kounti hiyo amewaeleza wakaazi kukumbatia usafi msimu huu wa mvua. Pia ameongezea kusema,wakati wa  mvua hushuhudiwa magonjwa mengi ya maambukizi ikiwemo kipindu pindu. Kiupande wake serikali ya kaunti ya Mombasa imesema, wamejiandaa kikamilifu kukabiliana na maafa yatakayo sababishwa na mvua. Nikiripoti kutoka kounti ya Mombasa jina langu ni Shokah Juma.

Zanzibar's case was filed off

http://www.theeastafrican.co.ke/news/Zanzibar-secession-case-dismissed-EACJ/2558-4336482-p8n808z/index.html Free App: null

Interiors sc,say "he is read to wash his hand but not regret after deported minguna miguna

http://news-af.op-mobile.opera.com/news/detail/7c4d177bc470dccdb405d722677d4f7c_ke?share=1

Dada mmoja anusuri kifo baada ya kujitupa kwa maji ferry.

Binti mwenye umri wa makamo alijitupa ndani ya maji wakati ferry ilipokuwa ikivuka. Abiria waliokuwepo karibu na yeye waliona tayari amejirusha pasipokujua chanzo ni  nini. Wakati huo huo wanaume walijitolea kupambana na maji ili kunusuru maisha ya banati huyo. Haraka haraka walifanikiwa kumuopoa . Na binti huyo  alipoulizwa anadai (maisha yamekuwa tete kwake). Imekuwa desturi ya kivuko hicho ambapo watuwengi huona hapo  ndio mahali sahihi pa kutatua msongo wa  mawazo. Swali ni je, kujiuwa ndio suluhisho ya majanga?

Tanzania hadi lini watawaandama waandishi wa habari ambao ni kiungo muhimu kwa jamii.!??

Take a look at @patahabari's Tweet: https://twitter.com/patahabari/status/710941097531457536?s=09

MAISHA NA CHANGAMOTO BARA BARANI KENYA

KATIKA maisha ya kila siku watu hutegemea bara bara kwa shuhuli mbali mbali. ila imekuwa ni kama jinamizi kwa wanaotumia usafiri barabarani.  sisemi ajali za kila siku na maisha kutoweka pia mali za watu zinazo angamia, je hatua gani ichukukuliwe ili kumaliza sokomoko hili.

Ktn Prime Sports full bulletin 2018-Otieno 'back to his roots'

Image

RTN TV: EGLAN SHOW Dhalinta Garissa Jacayl iyo lacag keebay qateen.

Image

The punishment of Somali women riding on bodaboda in Garissa.

Image

147 Slaughtered In Kenya Garissa University Attack

Image

Kenya Westgate Mall Attack

Image

Jicho Pevu: Fulusi Za Nuhusi - pt.2

Image

Jicho Pevu: Fulusi za Nuhusi - pt.1

Image