Posts

MAPANGO YA AMBONI TANGA TANZANI URITHI WA ASILI AFRICA

Image
Leo, tunakuletea moja ya maajabu ya kiasili yaliyopo Tanga, Tanzania — Mapango ya Amboni.   Mapango haya ya kale yanatajwa kuwa miongoni mwa mapango makubwa ya mawe ya chokaa (limestone) katika Afrika Mashariki.”   wa zaidi ya miaka milioni 150, yakitokana na mabadiliko ya miamba katika enzi za Jurassic.   Mwaka 1892, kampuni ya Amboni Ltd ilikuwa ya kwanza kuyamiliki kabla ya serikali ya kikoloni kutangaza eneo hili kuwa la kihifadhi mwaka 1922.   Hadi leo, mapango haya yanasimamiwa na Idara ya Urithi wa Taifa NCHINI TANZANIA.” “Katika mapango haya zaidi ya kumi, ni moja tu ndilo linalotembelewa na wageni huku sababu hal;isi iukiwa bado kuwekwa bayana. Ukitembea ndani, utakutana na mawe yenye maumbo ya kipekee – kama vile kiti cha enzi, mfuko wa sofa, meli, hadi sanamu inayofanana na Statue of Liberty!   Hii ni ishara ya maumbile kuchonga sanaa yake yenyewe kwa muda mrefu.” “Mapango haya si tu kivutio cha watalii, bali pia ni sehemu ta...

MWABILI AANDIKISHA TAARIFA DIANI

Image

UTAMADUNI NA MILA ZA TUMIKA KUJENGA AMANI

Image
Vijana wameonywa kutokana na kutumia mitandao ya kijamii vibaya na kujiingiza kwenye hanasa, jambo linalochangia kuongezeka kwa kuporomoka kwa maadili. Kwa muji wa wazee kutoka jamii ya wadigo eneo la msambweni wamekiri kuwa kuporomoka kwa maadili kwenye jamii kumechangiwa na vijana kuigiza mila za kigeni. Mila na desturi ni muhimili mkubwa kwa jamii za kiafrika, kudumisha amani na kuongeza ujamaa ambao hutafautishwa kutokana na makabili au maeneo wanayotoka.

Viongozi wawajibike na kutekeleza ahadi zao

Image
ijana wameonywa kutokana na kutumia mitandao ya kijamii vibaya na kujiingiza kwenye hanasa, jambo linalochangia kuongezeka kwa kuporomoka kwa maadili. Kwa muji wa wazee kutoka jamii ya wadigo eneo la msambweni wamekiri kuwa kuporomoka kwa maadili kwenye jamii kumechangiwa na vijana kuigiza mila za kigeni. Mila na desturi ni muhimili mkubwa kwa jamii za kiafrika, kudumisha amani na kuongeza ujamaa ambao hutafautishwa kutokana na makabili au maeneo wanayotoka. Kwenye kikao cha empower her, shine with peace kupitia mradi wa tujenge amani uliofadhiliwa na We World na mashirika rafiki, mkurugenzi wa shirika la Msambweni Queens Biasha Jasho amesema vijana wajiepushe na utumiaji mbaya wa utandawazi na kufata mila zilizobora. Katibu kutoka kaya Diani amesema kupuuzwa kwa tamaduni na kufata mila za watu wengine kumechangia utovu wa usalama hasa kwa jamii za mwabao. Kwa mtazamo wa ulezi wa mtoto kwa mila zinazotokana na Dini Sheikh Sadik Mwamure kutoka msambweni amesema licha ya uwezo waliopewa ...

Gwajima Ashauri Maboresho Reform za Msingi Zifanyike CHADEMA Waingie ...

Image

UKOSEFU WA UFADHILI WAZIMA MAFANIKIO WASANII

Image

Vijana kukumbatia amani

Image

How East Africa’s Thriving Honeymoon Market Shapes Cross-Border Tourism

Image
  By Carol Samini Katana (Kenya) On the sunlit shores of Diani Beach in Kenya, Francis and Joyce, a newlywed couple from Uganda, stroll barefoot across the warm sands, laughter rising above the soft murmur of waves. For them, this goes beyond a honeymoon. It's a celebration of culture and the ease of moving freely within East Africa.   Their romantic getaway was made possible by relaxed border restrictions, regional cooperation, and a shared vision of turning Africa’s cultural and natural diversity into a hub for intra-continental honeymoon tourism. Diani Beach, Kenya[/caption] Meanwhile, for another couple, Abdirasul Mohammed and Nusyibah Juma, love found its rhythm not only in Zanzibar but also in the gentle waves of Kenya’s southern coastline.   “We chose to come to the Kenyan coast for our honeymoon because we were looking for a calm, peaceful place by the ocean. We believe the sea is one of Africa’s greatest inheritances,”...

How East Africa’s Thriving Honeymoon Market Shapes Cross-Border Tourism

Image
  By Carol Samini Katana (Kenya) On the sunlit shores of Diani Beach in Kenya, Francis and Joyce, a newlywed couple from Uganda, stroll barefoot across the warm sands, laughter rising above the soft murmur of waves. For them, this goes beyond a honeymoon. It's a celebration of culture and the ease of moving freely within East Africa.   Their romantic getaway was made possible by relaxed border restrictions, regional cooperation, and a shared vision of turning Africa’s cultural and natural diversity into a hub for intra-continental honeymoon tourism. Diani Beach, Kenya[/caption] Meanwhile, for another couple, Abdirasul Mohammed and Nusyibah Juma, love found its rhythm not only in Zanzibar but also in the gentle waves of Kenya’s southern coastline.   “We chose to come to the Kenyan coast for our honeymoon because we were looking for a calm, peaceful place by the ocean. We believe the sea is one of Africa’s greatest inheritances,” Abdirasul says thoughtfully. ...

Kwale Doctors Strike Enters Day 3 Amid Chaos, Unpaid Salaries, and Deteriorating Healthcare Services

Image
Msambweni referal hospital  By : Caroline Katana Tension flared outside Msambweni County Referral Hospital on Tuesday  morning as doctors staging a peaceful press briefing were forcibly dispersed by individuals believed to be hired goons a move the Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) Coast region has strongly condemned. According to the doctors, the group led by a woman identified as Asha Makei, popularly known as “Mama Miraa” interrupted their media engagement, hurling accusations and insisting that the medics had no right to strike. goons  "We are the ones who gave them these jobs, and we are the patients. If they can't work, they should resign. We have children with qualifications but no jobs while doctors are playing around with theirs,” Makei shouted, claiming the doctors were too busy with their private clinics allegedly stocked with drugs from public hospitals. Mohamed Ali Maingu echoed the same sentiments, urging the doctors to acce...

Youth in Matuga Kenya applauds Netherlands Embassy for Participatory Grant Making project

Image
By : Carol Katana At least two reformed juvenile youth groups in Matuga sub-county ,Kwale county who benefited from Participatory Grant Making project PGM2 received government funds . The groups are among the hundreds youth empowered by a community based organization Green Minds through a project titled Punguza Vipanga Jenga Amani , a project that set a good record on changing the lives of juvenile gangs through the strategic approach of inclusiveness . The participatory grant making PGM 2 funded by the Netherlands Embassy through the JISRA project implemented by Kenya Community Support Centre KECOSCE transformed community members in its unique way . Leader of one group Hamisi Ali Libondo said during the empowerment forums they realized that they can easily earn money by starting small businesses to combat unemployment and insecurity . “ We registered a group of fifteen youth title “ Jitihada youth group” and applied for youth fund and that of Nat...

Mapungufu katika mswada wa hazina ya mikopo ya biashara ya Kwale mwaka 2024

Image
    wachanganuzi wa mswaada wa bajeti kitengo cha biashara kwale Caroline Katana  Mswada wa hazina ya mikopo ya biashara  wa  kaunti ya Kwale mwaka 2024 ( kwale county biashara revolving fund bill 2024  ) umezingirwa  na mapungufu  msingi yanayohitaji kurekebishwa  kabla  ya  kupitishwa na kuwa  sheria,  ili uwafaidi walengwa   . Haya  yameibuka katika mkao wa kuuchanganua mswada huo  ,ulioleta pamoja mashirika  mbalimbali ya kijamii chini ya muungano wa mashirika  wa Kwale Community of Practice  ,huko Diani kaunti ya Kwale . Kwale community of Practice , inachanganua mswada huo wa biashara 2024  na  kunakili  mapungufu  yaliyomo  kabla ya  kuandika Memo ya  mapendekezo ya marekebisho katika wizara husika . Mswada huo utakapokuwa sheria ,utaondoa  miswada miwili  , ule wa  fedha za mikopo za mzunguko (revolving fund)  na ule wa vijana ,aki...

HAJA YA WAKULIMA KUFAHAMU AFYA YA MCHANGA WA MASHAMBA YAO.

Image
 juu hii ,mkulima  akitoa manyasi shambani  Taarifa yake : Caroline Katana  Shirika la utafiti wa kilimo na mifugo nchini KALRO linaendeleza zoezi la kukusanya  sampuli ya mchanga katika kaunti 45 za humu nchini  ili  kutoa mapendekezo  kwa serikali  kuhusiana na swala la  utumizi wa mbolea  katika kila kaunti , baada ya zoezi la utafiti katika maabara  kukamilika . Malengo ya utafiti huo ni kuhakikisha   wakulima wanajua afya ya mchanga wao na  kutumia mbolea iliyo sahihi katika mashamba yao ili  kuinua viwango vya uzalishaji na kupunguza gharama za ununuzi wa chakula kutoka mataifa ya nje . Zoezi hilo  lililotia nanga mwezi huu  na kutarajiwa  kukamilika  kati kati  ya mwezi Machi ,linafadhiliwa na serikali ya Kenya  na benki kuu ya dunia . Taifa la kenya kwa sasa likiwa limepunguza  kwa asilimia 30   uagizaji mahindi kutoka mataifa ya nje tangu serikali  kuanzisha...