Posts

Showing posts from May, 2026

VIJANA KWALE WALAUMIWA KUPUUZA VIKAO VYA MAONI, WATAHADHARISHWA KUPITWA NA MAENDELEO

Image
 ‎ Na Mwandishi Wetu Jumwa Kwale Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti ya Kwale kujitokeza kwa wingi kushiriki vikao vya maoni vinavyoandaliwa katika maeneo yao, huku ikielezwa kuwa wengi wao wameendelea kubaki nyuma kimaendeleo kutokana na tabia ya kutohudhuria mikutano hiyo muhimu ya kijamii na kiutawala. Imeelezwa kuwa kupitia vikao hivyo, wananchi hupata nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu miradi na maendeleo wanayotaka kuona katika maeneo yao, lakini vijana wengi wamekuwa wakikosa kushiriki licha ya kuwa wao ndio nguvu kazi ya taifa. Changamoto hiyo imewafanya wanaharakati na mashirika ya kijamii kuanza kutafuta mbinu mpya zitakazowavutia vijana kuhudhuria vikao vya maoni kwa hiari yao bila kusubiri mialiko rasmi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa INUA-IG katika kaunti ya Kwale, Mwenyekiti wa shirika la Tulinde Future Yetu Initiative , alisema mradi huo unalenga kuwaelimisha vijana, kina mama na watu wanaoishi na ulemavu kuhusu masuala ya utawala bora, uwajibikaj...

Coca-Cola Launches Charged Energy Drink in Kenya’s Coastal Region

Image
  Charged crew entertain local during the official launch tour. Story by Yusuf Abubakar The Coca-Cola Company has launched Charged, a new sparkling caffeinated beverage, in Kenya’s coastal region as the company seeks to expand its beverage portfolio and tap into the growing demand for energy drinks. The new drink, which debuted in Nairobi last month, is now available in Mombasa and Kilifi counties in two flavours, Lemon Burst and Electric Pineapple. Speaking during the launch in Mombasa, Monique Katana, Director of Frontline Marketing at Coca-Cola Kenya, said the company was excited to introduce the product to consumers in the coastal region. “We are excited to introduce Charged to the coastal region, offering consumers a refreshing boost to power through their day,” said Katana. She added that the launch highlights the company’s commitment to innovation and its mission to provide a diverse range of beverages that meet changing consumer tastes and lifestyles. To support the rollout...

Misitu ya Kwale Hatarini: Mashirika Yaunganisha Nguvu Kupambana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Image
  Wanaharakati wa kukabiliana na mazingira. Na Jumwa Mabadiliko ya tabia nchi yameendelea kutajwa kama changamoto kubwa inayochangia kuharibika kwa mazingira, hali inayowasukuma wanaharakati na mashirika ya kijamii kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa mazingira. Katika Kaunti ya Kwale, gatuzi za Matuga, Msambweni na Kinango ni miongoni mwa maeneo yanayoshuhudia juhudi hizo kupitia mashirika saba ya kijamii yaliyoungana kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi pamoja na kuhamasisha jamii kuhusu utunzaji wa mazingira. Hatua hiyo inajiri wakati ambapo shughuli za ukataji miti kiholela zimeelezwa kuongezeka kwa kasi, hali inayochangia kupungua kwa misitu katika baadhi ya maeneo ya pwani. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa shirika la Tulinde Future Yetu Initiative, , mradi wao umejikita zaidi katika uhifadhi wa misitu kutokana na umuhimu wake kwa mazingira na sekta ya utalii. “Tumejikita zaidi katika kuhamasisha jamii kuhusu utunzaji wa mazingira kupitia uhifadhi wa misitu. U...

EMBRACING AI IN HUMAN RESOURCE