Posts

Mwachande Bridge : After 24 Years of Waiting, Lunga Lunga Residents See Progress Under Ruto

Image
Mwachande Bridge  By Caroline Katana. For nearly 24 years, residents of Mwarutswa and surrounding villages in Lunga Lunga, Kwale County, have waited for a bridge they say has become a symbol of years of neglect, disrupted livelihoods and broken promises. The Mwachande Bridge, located along the road linking Msambweni and Lungalunga su_counties , collapsed more than two decades ago, leaving residents to contend with a difficult and sometimes impassable crossing. Now, residents say they are finally seeing tangible progress. The bridge project has an allocation of approximately KSh538 million and is currently about 63 per cent complete, giving residents renewed hope that a problem that has followed them through successive administrations could finally be resolved. But after years of waiting, residents are asking the government to maintain the momentum until the project is completed. For Mwanamisi Bakari Mwaruma, a resident of Mwarutswa, the bridge has been part ...

Shimoni residents demand jobs, transparency as KSh2.6 billion fish port nears opening.

Image
Shimoni Fish Port.  By Caroline Katana The KSh2.6 billion Shimoni Fish Port has raised hopes of jobs and better livelihoods among residents, but as the facility awaits official opening, the community is demanding clarity on how it will benefit the people who have depended on the sea for generations. For residents of Shimoni, the multimillion-shilling investment represents a potentially significant transformation of the local fishing economy and the wider blue economy. But their excitement is being tempered by concerns over employment, the future of small-scale fishing, tourism and whether promises made to the community before construction will be honoured. At the centre of the concerns is an agreement residents say was reached before construction began that 75 per cent of lower-level jobs would be reserved for locals, while 25 per cent would go to people with specialised qualifications. Fadhili Ali Abdalla, a Shimoni resident who participated in discussions ...

FAYAZ BAKERS YAAGA SISI NI DOLA CUP, AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI

Image
Mabingwa watetezi wa michuano ya SISI NI DOLA Cup , Fayaz Bakers, wameaga mashindano hayo baada ya kutandikwa mabao 2-1 na Azam FC katika mchezo wa robo fainali uliochezwa katika uwanja wa Mombasa Sports Club. Azam FC walionyesha ubabe mapema katika kipindi cha kwanza, wakifungua ukurasa wa mabao kupitia Harith Mshamanga dakika ya 20, kabla ya Ali Cheusi kuongeza la pili dakika ya 28 na kuifanya Azam FC kwenda mapumziko ikiwa kifua mbele kwa mabao 2-0. Fayaz Bakers walirejea kipindi cha pili wakiwa na matumaini ya kubadili matokeo, na juhudi zao zilizaa matunda dakika ya 52 baada ya Rashid Nzao kufunga bao la kufutia machozi. Hata hivyo, Fayaz Bakers walishindwa kupata bao la kusawazisha hadi dakika 90 zilipotimia, na hivyo Azam FC kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa mabao 2-1. Azam FC sasa watavaana na Al Shifaa katika hatua ya nusu fainali, huku wakisaka tiketi ya kuingia katika mchezo wa fainali wa michuano hiyo. Nyota wa mchezo huo...

Katana Aivusha Nyundo FC Nusu Fainali, michuano ya SISI NI DOLA CUP ikipamba Moto

Image
Tuangazie matokeo ya Ngarambi za dimba ;la SISI NI DOLA Cup ambapo Mechi ya pili ya hatua ya robo fainali umewakutanisha Nabadda FC dhidi ya Nyundo FC katika pambano lililojaa mhemko mbwembwe na ushindani mkubwa. Nyundo FC walikuwa wa kwanza kupata bao la mapema kupitia kwa Joash Ndela katika dakika ya 4 kipindi cha kwanza. Hata hivyo, Nabadda FC walirejea mchezoni baada ya Ahmed Mohamed kujifunga kwa bahati mbaya katika dakika ya 21, na kufanya matokeo kuwa sare ya bao 1-1 hadi mwisho wa dakika 90 za kawaida. Hata hivyo mshindi ameamuliwa kwa mikwaju ya penalti, ambapo Nyundo FC walionyesha utulivu na umakini mkubwa, wakishinda kwa mikwaju 4-2 dhidi ya Nabadda FC. Francis Katana mlinda lango wa Nyundoi FC ndiye aliyekuwa nyota na moto wa kuotea mbali kwa kuokoa mikwaju 2 ya penalty, akibaini kuwa umakinifu wake na kujiamini katika mikwaju ndiko kumemwezesha kuip timu yake ushindi. Mpaka Sasa Francis Katana wa Nyundo FC ndie kipa bora akiwa na michezo minne bil...

Wakulima wa Mpunga Kwale Waongeza Mavuno Kupitia Mbegu Bora na Mafunzo ya Kilimo

Image
Na Shoka Juma Wakulima wa mpunga katika wadi za Pongwe-Kikoneni, Ramisi na Vanga, Kaunti ya Kwale, wanaendelea kushuhudia ongezeko la uzalishaji wa mpunga kufuatia matumizi ya mbegu bora, pembejeo za kilimo na mafunzo ya mbinu za kisasa za uzalishaji. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Idara ya Kilimo ya Kaunti ya Kwale, mavuno ya mpunga yameongezeka kutoka wastani wa nusu tani hadi kufikia tani mbili kwa kila hekari katika baadhi ya mashamba, hatua inayotajwa kuwa imeongeza uzalishaji na kuboresha kipato cha wakulima. Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya tani 400 za mbegu zimegawiwa kwa wakulima katika maeneo mbalimbali ya kaunti, huku zaidi ya wakulima 180,000 wakinufaika na programu za kuimarisha sekta ya kilimo. Mpango huo unalenga kuongeza uzalishaji wa chakula, kuimarisha usalama wa chakula na kuwasaidia wakulima kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi. Mbali na ugavi wa mbegu, wakulima wamekuwa wakipatiwa mafunzo kuhusu matumizi sahihi ya pembejeo, ud...

Akili Mnemba (AI) Yazidi Kuchochea Uhalifu wa Mtandaoni Barani Afrika

Image
Na Shoka Juma. Ripoti mpya ya Shirika la Kimataifa la Polisi (INTERPOL) imebaini kuwa matumizi ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence AI) sasa yanachangia zaidi ya asilimia 55 ya uhalifu wa mtandaoni unaoripotiwa barani Afrika, hali inayowafanya wahalifu kutekeleza mashambulizi kwa kasi zaidi, kwa kiwango kikubwa na kwa mbinu ngumu zinazowapa changamoto hata wataalamu wa usalama wa mtandao. Kwa mujibu wa African Cyberthreat Assessment Report 2026, uhalifu wa mtandaoni haupo tena katika kiwango cha matukio ya mtu mmoja mmoja, bali umegeuka kuwa mtandao mkubwa wa kimataifa unaovuka mipaka ya nchi na kutumia teknolojia za kisasa kuwalenga watu binafsi, biashara na taasisi za serikali. Ripoti hiyo inaeleza kuwa ukuaji wa matumizi ya teknolojia barani Afrika, ambapo zaidi ya watu bilioni 1.1 walikuwa watumiaji wa simu za mkononi mwaka 2025, umefungua fursa nyingi za maendeleo lakini pia umeongeza mianya inayotumiwa na wahalifu wa mtandaoni. Afrika Mashariki yaongoza katika ula...

MOMBASA SPORTS CLUB NA AL SHIFAA ZATINGA ROBO FAINALI KWA KISHINDO, SISI NI DOLA CUP YAPAMBA MOTO

Image
Michuano ya SISI NI DOLA CUP imeendelea kushika kasi huku timu mbalimbali zikionyesha ushindani wa hali ya juu katika hatua ya 16 bora, na baadhi yao kufanikiwa kujikatia tiketi ya robo fainali. Green Eagles ilikuwa timu ya kwanza kufuzu robo fainali baada ya kuichapa Mtwapa All Stars bao 1-0, lililofungwa na Paul Otieno katika dakika ya 59. Likoni United nayo ilisonga mbele baada ya kuibwaga Goodhope kwa mikwaju ya penalti 5-3 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 za kawaida. Sasa Likoni United itakutana na Green Eagles katika robo fainali. Nyundo FC iliendeleza ubabe wake kwa kuichapa Simba Apparel mabao 3-0. Swaleh Juma alifunga bao moja huku Joshi Ndela akiongeza mawili na kuipeleka timu hiyo hatua inayofuata. Mombasa Sports Club ilifuzu kwa kishindo baada ya kuifunga Mombasa Kings mabao 3-1. Salim Ali aliiongoza timu yake kwa kufunga mabao mawili, huku Solomon Wanguzi akiongeza bao la tatu. Bao pekee la Mombasa Kings lilifungwa na Ali Tauz. Sal...

Serikali ya Kwale yarejesha barabara ya umma ya kuingia ufukweni Diani

Image
Na Shokah Juma Serikali ya Kaunti ya Kwale kwa ushirikiano na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imerejesha eneo la umma la ekari 1.14 lililotengwa kwa ajili ya barabara ya kuingia ufukweni katika eneo la Diani, Kaunti Ndogo ya Msambweni, lenye thamani ya takriban Sh45 milioni. Eneo hilo lilikuwa limenyakuliwa na kampuni binafsi kwa zaidi ya miongo mitatu, hali iliyowazuia wananchi, wavuvi na wafanyabiashara wa ufukweni kutumia njia hiyo kufikia Bahari ya Hindi. Kurejeshwa kwa ardhi hiyo kunafuatia uamuzi wa Mahakama ya Mazingira na Ardhi ya Kwale uliotolewa Julai 14, 2026, uliobatilisha mkataba wa upangishaji wa miaka 99 uliotolewa mwaka 1994 pamoja na cheti cha umiliki, na kuagiza eneo hilo lirejeshwe kuwa mali ya umma. Akizungumza wakati wa kukabidhiwa rasmi kwa eneo hilo, Gavana wa Kwale Fatuma Achani alisema hatua hiyo ni ushindi dhidi ya unyakuzi wa ardhi na itasaidia kurejesha haki kwa wananchi waliokosa fursa ya kutumia mali ya umma kwa miaka mingi....

All Eyes on Salim Kumaka as Dock Workers Union Election Race Intensifies.

Image
Former Kenya Ports Authority (KPA) Defined Contribution (DC) Scheme officer Salim Kumaka is faced with the challenge of whether to take paid leave pending retirement or contest for the Dock Workers Union (DWU) top post in union election slated for August 13. The other option left to Kumaka who is KPA operations officer is for  him to resign from the state corporation and take part in next month’s election where he enjoys government backing. He has however remained mute about his stand as to whether he will join the race to replace embattled General Secretary Simon Sang or not. The move will make the DWU election a two-horse race between him and former DWU assistant general secretary Mr Abubakar Abdillahi as they await the election board to be constituted. The purported DWU General Secretary Suliman Otieno Owuor who enjoys the support of the Central Organization of Trade Unions COTU (K) has declined to comment. The 5000 union members are already in an election mood after...

Campaigns Heat Up Ahead of August 13 Dock Workers Union Elections

Image
Former Dock Workers Union (DWU) assistant general secretary Abubakar Mohammed Abdullahi is already in a campaign trail ahead of the election. He is the only aspirant so far who has declared his interest to replace embattled Simon Sang as general secretary.  Efforts to get comments from Suliman Otieno Owuor as well as from Salim Kumaka who is in management were futile as our calls went unanswered. We managed to obtain the DWU constitution which states that for one to vie for the position of general secretary one must be an outsider and that it is mandatory for any employee to resign with prior notice to the management.  Abubakar has intensified his campaigns by traversing the estates to woo for votes ahead of the August 13 poll. He is among those dismissed from employment at the Kenya Ports Authority (KPA) alongside other union officials following an illegal strike during former KPA Managing Director the late Francis Gichiri Ndua's tenure as Managing Director under ...

KAUNTI YA KWALE KUJIUNGA NA KESI YA ARDHI YA MBUGUNI

Image
Serikali ya Kaunti ya Kwale imetangaza kuwa itajiunga kama mdau katika kesi inayoendelea mahakamani kuhusu umiliki wa ardhi ya Mpango wa Makazi wa Mbuguni, Wadi ya Tsimba Golini, Kaunti Ndogo ya Matuga, ili kutetea haki za wakazi wanaopinga utoaji unaodaiwa kuwa kinyume cha sheria wa hati miliki. Hatua hiyo imetangazwa na Gavana Fatuma Achani baada ya wakazi kulalamikia kile walichodai kuwa baadhi ya hati miliki zilitolewa kwa watu wasiokuwa wenyeji wa eneo hilo pamoja na watu wenye ushawishi, hali iliyozua hofu ya kupokonywa ardhi wanayoitegemea kwa makazi na shughuli za kujipatia riziki. Mpango wa Makazi wa Mbuguni una takriban vipande 756 vya ardhi vilivyo katika vijiji vya Bang'a, Mteza, Mrera, Mbuguni na Lunguma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbuguni kujadili mzozo huo, Gavana Achani alisema serikali yake haitavumilia unyakuzi wa ardhi na imejizatiti kushirikiana na timu ya mawakili wa wakazi kuhakikisha haki inatendeka. "Serika...

KAMPENI ZAPAMBA MOTO KABLA YA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA BANDARINI

Image
MWANAHABARI: SHOKAH JUMA Kampeni za uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Bandarini (DWU) zimeanza kushika kasi huku wanachama wakijiandaa kwa uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Agosti 13 mwaka huu.  Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Abubakar Mohammed Abdullahi, ameanza rasmi kampeni zake na kwa sasa ndiye mgombea pekee ambaye ametangaza nia ya kuwania wadhifa wa Katibu Mkuu, nafasi iliyoachwa wazi kufuatia kubatilishwa kwa uchaguzi wa awali.  Abubakar amekuwa akifanya mikutano katika maeneo mbalimbali ya makazi ya wafanyakazi wa bandarini akiwashawishi wanachama kumpigia kura siku ya uchaguzi. Katiba ya DWU inaeleza kuwa anayewania nafasi ya Katibu Mkuu lazima awe mtu wa nje ya ajira ya chama, huku mfanyakazi yeyote anayenuia kugombea akitakiwa kujiuzulu kazi kwa kutoa notisi kwa mwajiri wake.  Jitihada za kupata maoni kutoka kwa Suliman Otieno Owuor na Salim Kumaka hazikufanikiwa baada ya simu zetu kutopokelewa.  Abubakar ni miongo...

Kilimo Himilivu Chabadilisha Maisha ya Wakulima Kinango

Image
Na Jumwa Mwandoro  Kwa miaka mingi, eneo la Kinango, Kaunti ya Kwale, limekuwa likitajwa kama mojawapo ya maeneo yanayokumbwa na ukame wa mara kwa mara, hali iliyosababisha uhaba wa chakula na changamoto za kiuchumi kwa wakazi wake. Hata hivyo, juhudi za Shirika la Climate Care zinaanza kubadilisha taswira hiyo kupitia miradi ya kilimo himilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Kupitia mradi wa "Sikiliza Sauti, Dunia Inaita" , unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la WeWorld , Climate Care linafundisha zaidi ya makundi 20 ya wanawake na vijana yameanza kunufaika na mafunzo yanayolenga kuboresha mbinu za kilimo na kuimarisha usalama wa chakula. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Climate Care, Peter Tsuma , alisema lengo kuu la mradi huo ni kuwajengea wakulima uwezo wa kutumia mbinu za kisasa na rafiki kwa mazingira ili kuongeza uzalishaji wa mazao licha ya athari za mabadiliko ya tabianchi. "Makundi ...

Wito wa ushirikiano watolewa katika vita dhidi ya mihadarati Nchini

Image
Kijana Cha Vanga: Mombasa  Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kupinga matumizi na ulanguzi wa dawa za kulevya,hapa Mombasa siku hiyo imeadhimishwa katika eneo bunge la Jomvu katika kituo cha Miritini huku viongozi wakionya kuwa taifa linakabiliwa na dharura ya kitaifa kutokana na ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya,wito ukitolewa kwa serikali za kaunti pamoja na serikali ya kitaifa kushirikiana kwa karibu ili kuimarisha vita dhidi ya mihadarati . Kulingana na utafiti wa hivi karibuni wa kitaifa uliofanywa na Mamlaka ya Kitaifa ya Kupambana na Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya (NACADA), takriban Wakenya milioni 4.7 wenye umri wa kati ya miaka 15 na 65 wanatumia angalau aina moja ya dawa za kulevya au kilevi. Utafiti huo unaonyesha kuwa eneo la Pwani lina kiwango cha juu zaidi cha matumizi ya dawa za kulevya nchini kwa asilimia 29.3, huku Kaunti ya Mombasa ikiongoza kwa kiwango cha asilimia 34.4. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ma...

VIJANA KWALE WALAUMIWA KUPUUZA VIKAO VYA MAONI, WATAHADHARISHWA KUPITWA NA MAENDELEO

Image
 ‎ Na Mwandishi Wetu Jumwa Kwale Wito umetolewa kwa vijana katika kaunti ya Kwale kujitokeza kwa wingi kushiriki vikao vya maoni vinavyoandaliwa katika maeneo yao, huku ikielezwa kuwa wengi wao wameendelea kubaki nyuma kimaendeleo kutokana na tabia ya kutohudhuria mikutano hiyo muhimu ya kijamii na kiutawala. Imeelezwa kuwa kupitia vikao hivyo, wananchi hupata nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu miradi na maendeleo wanayotaka kuona katika maeneo yao, lakini vijana wengi wamekuwa wakikosa kushiriki licha ya kuwa wao ndio nguvu kazi ya taifa. Changamoto hiyo imewafanya wanaharakati na mashirika ya kijamii kuanza kutafuta mbinu mpya zitakazowavutia vijana kuhudhuria vikao vya maoni kwa hiari yao bila kusubiri mialiko rasmi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa INUA-IG katika kaunti ya Kwale, Mwenyekiti wa shirika la Tulinde Future Yetu Initiative , alisema mradi huo unalenga kuwaelimisha vijana, kina mama na watu wanaoishi na ulemavu kuhusu masuala ya utawala bora, uwajibikaj...

Coca-Cola Launches Charged Energy Drink in Kenya’s Coastal Region

Image
  Charged crew entertain local during the official launch tour. Story by Yusuf Abubakar The Coca-Cola Company has launched Charged, a new sparkling caffeinated beverage, in Kenya’s coastal region as the company seeks to expand its beverage portfolio and tap into the growing demand for energy drinks. The new drink, which debuted in Nairobi last month, is now available in Mombasa and Kilifi counties in two flavours, Lemon Burst and Electric Pineapple. Speaking during the launch in Mombasa, Monique Katana, Director of Frontline Marketing at Coca-Cola Kenya, said the company was excited to introduce the product to consumers in the coastal region. “We are excited to introduce Charged to the coastal region, offering consumers a refreshing boost to power through their day,” said Katana. She added that the launch highlights the company’s commitment to innovation and its mission to provide a diverse range of beverages that meet changing consumer tastes and lifestyles. To support the rollout...